Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Ningekuwa nishadaka vocha nyingi sana maana nimebobea kwenye sekta hiyo ya kuwahi

Ngoja nikawapore matajiri vocha
Wasije kujinyonga bure
Ngoja nikutumie link ya zamani unakosa uhondo πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hii app mpya mnatumiaje wenzangu
Mimi nashindwa kuona nyuzi kabisa
Yaani ni mateso.


Aisee
Kivumbi na jasho
Matajiri watoana roho kwa kugombania vochaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Kumbe hadi matajiri Wana hizi tabia za kuvamia vocha
Huko ndio utajua umuhimu wa fake ID
 
Kumbe ndio maanaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Chaaa
Jamani
Kuliko vocha za sandakalawe
Heri kuzingusha ndizi aiseee

Tajiri wanasubiri kupambania kombe la vocha
No wonder wanauliza keki za elfu7
Labda bumunda.

Ni huzuni.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ huoni uzi umepoa matajiri wapi huko macho kodo vocha zisiwapite
 
Kumbe ndio maanaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Chaaa
Jamani
Kuliko vocha za sandakalawe
Heri kuzingusha ndizi aiseee

Tajiri wanasubiri kupambania kombe la vocha
No wonder wanauliza keki za elfu7
Labda bumunda.

Ni huzuni.
Nuzu kasema mods wapiga marufuku eti nyuzi zinakosa wachangiaji watu wako busy na vocha 🀣🀣🀣🀣
 
Back
Top Bottom