Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 39,471
- 94,924
Wii mbavu zinauma mwenzio 🤣🤣🤣🤣Tena wafanye haraka tofauti na hapo Jf inaenda kufa kibudu 😁😁😁
JF itakuwa ya vocha threads za muhimu hazitokuwa na wachangiaji
Nasikia mpk Facebook wamesikia taarifa wamejoin wamesikia JF kuna vocha za bure