sumbai
JF-Expert Member
- Jun 16, 2014
- 20,890
- 47,611
Shemlove huko kwenu nimchana auHiii hapa.
View attachment 1281872
Shemlove huko kwenu nimchana auHiii hapa.
View attachment 1281872
HahahahaMweeeh!!
Kwanza kinaitwaje hicho kiurembo sijui!Ulizia utaoneshwa
Umetaman ehhhh unakuja lini tuyajenge nikuhonge na dagaaa ugaliWacha weee![]()
Ndio.Shemlove huko kwenu nimchana au
Umetaman ehhhh unakuja lini tuyajenge nikuhonge na dagaaa ugali





Eeeeh bwana eeh!
Maisha ni mafupi hupaswi kujinyimaa ni mwendo wa kula vitu vitamutamuYote hayo ya nini eti jamani!! Ugali na dagaa na maji ya kutosha!!
Ngoja nizitafute weekend..Hatari hatari.
Mbona vitamuu!!Maisha ni mafupi hupaswi kujinyimaa ni mwendo wa kula vitu vitamutamu
Mwambie aje fasta mwendo wa mateka mikono juuNamuwinda huyu dogo.... Ngoja nikapigie kwanza
Lini unaenda kulima maana nimeshajua shamba lilipo nakuja na camera tu nakupigaLinalindwa na damu ya Yesu.
AiseeeUsiku mwema wapendwa.
Subiri kwanza.... buanaahUsiku mwema wapendwa.
Kwanza kinaitwaje hicho kiurembo sijui!
Cha uvivu sipendiMbona vitamuu!!