Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 39,471
- 94,921
Kuna id zingine mpya sijawahi hata kuziona aiseee.!! 🤣🤣🤣Jamanii,jamaniii my wiii nicheke kwanza ule uzi watu mpaka wanakuja na Id mpya ili wagombee vizuri Vocha za bure niliwapa ukweli😁😁😁
Kuna id zingine mpya sijawahi hata kuziona aiseee.!! 🤣🤣🤣Jamanii,jamaniii my wiii nicheke kwanza ule uzi watu mpaka wanakuja na Id mpya ili wagombee vizuri Vocha za bure niliwapa ukweli😁😁😁
🤣🤣🤣 yani wanachekesha mi nikiona mtu kaniita nikienda kumjibu nakuta comments zinapandana za watu wanalilia vochaNchi ngumu hii
Matajiri wanajua uzi wa kugombania vocha za bure
Mie maskini sina habari
Hivi uzi wa vocha upo wapi?Jamanii,jamaniii my wiii nicheke kwanza ule uzi watu mpaka wanakuja na Id mpya ili wagombee vizuri Vocha za bure niliwapa ukweli😁😁😁
Mimi niliandika kule ukweli waache pigo hizo kutwa kuwasema watu na majigambo humu 😁😁Kuna id zingine mpya sijawahi hata kuziona aiseee.!! 🤣🤣🤣
Hehehehe ndio forester...nyeupee😂😂💔..we huogopiii 😂😂Nakojoaaaaa 😂😂😂
Subaru ipi? Forester?
Em atulize atauponza bure
Aisee njaa mbaya inakudhalilisha kweupe 😂😂😂Matajiri ndio huwa wanamwaga vocha humu
Wote ambao tunagombania bado kuingiza vocha za bure aisee
Ndio poorest pipo for the poor by the poor
Mm nilivoongea ukweli nikaripotiwa nkachomewa ka nyumba kangu😂😂💔Mimi niliandika kule ukweli waache pigo hizo kutwa kuwasema watu na majigambo humu 😁😁
😂😂😂 tatizo njaa inawasahulisha Bantu lady kajua kutuumbulia watuMimi niliandika kule ukweli waache pigo hizo kutwa kuwasema watu na majigambo humu 😁😁
Uzi toka asubuhi uko kwenye chat juu huko ukiingia ndani watu wana uwana huko 😁😁😁Hivi uzi wa vocha upo wapi?
Hii jf ya sikuhizi inanivuruga nashindwa kusoma nyuzi
Acha nikapambanie kombe na matajiri uchwara
🤣🤣🤣 ehhhHehehehe ndio forest..nyeupee😂😂💔..we huogopiii 😂😂
Niliona siku ile walikukalia kooni na kipipa 😂😂😂Mm nilivoongea ukweli nikaripotiwa nkachomewa ka nyumba kangu😂😂💔
Nilishtukia 🔥🔥😂😂Niliona siku ile walikukalia kooni na kipipa 😂😂😂
Halafu kipipa si alikuwa shosti yako? 🤣🤣🤣Nilishtukia 🔥🔥😂😂
Hii app mpya mnatumiaje wenzanguUzi toka asubuhi uko kwenye chat juu huko ukiingia ndani watu wana uwana huko 😁😁😁
Yanga bingwa Nkamu 😂😂😂Nyie 😂 💚 😂 💚
Yanga mbele daima
Halafu kipipa si alikuwa shosti yako? 🤣🤣🤣
Nilikuwa namuona ulipo yupo kujifanya anakujua sana.!!
Nikasema hapa kuna unafkilazition unaendelea 🤣🤣
Hii yanga ni man city tupu🔥🔥🔥Yanga bingwa Nkamu 😂😂😂
Ngoja nikutumie link ya zamani unakosa uhondo 😂😂😂Hii app mpya mnatumiaje wenzangu
Mimi nashindwa kuona nyuzi kabisa
Yaani ni mateso.
Aisee
Kivumbi na jasho
Matajiri watoana roho kwa kugombania vocha😂😂😂😂😂😂😂
Kumbe hadi matajiri Wana hizi tabia za kuvamia vocha
Jf imetuletea watu version ya vipipa toka lini 😂😂😂😂Halafu kipipa si alikuwa shosti yako? 🤣🤣🤣
Nilikuwa namuona ulipo yupo kujifanya anakujua sana.!!
Nikasema hapa kuna unafkilazition unaendelea 🤣🤣