Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 39,836
- 96,086
Nkamu tuachane na hayo bana yashapita na nishakwambia siyataki.!!Tunavyoileta
Tutaleta na ngunyani uliyoagiza
Na matoki😂😂😂😂
Na kipome
Yaani surprise itabamba
Weeh! Nkamu unakumbuka ile issue hujaniambia imeishaje?
Em njoo pm kwanza 😂😂😂


