Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 39,471
- 94,939
Nkamu unapoteza energy huyo mwenzio hana ajualo ni mshamba mmoja kakukurupuka, mpuuzeNdio maana aisee
Mbeya na dollar wapi na wapi.
Tuzitafute Mkuu,kuzimiliki siyo dhambi
Nkamu unapoteza energy huyo mwenzio hana ajualo ni mshamba mmoja kakukurupuka, mpuuzeNdio maana aisee
Mbeya na dollar wapi na wapi.
Tuzitafute Mkuu,kuzimiliki siyo dhambi
Mimi ni mshamba kweli ila wewe ni kituko😁😂😂 Basi ndio maana ni mshamba wewe ushamba mwiko kwa mtoto wa kariakoo dollar nyeupe 😂
Ni hili hili tu au Mnamaisha yenu?. Wanandoa hawaingiliwi daima 😂😂😂🤣😁😁😁Kuna utetezi wa dollar huku
Basi nkamu utamuua 😹😹Mimi ni mshamba kweli ila wewe ni kituko
Dola feki haipimwi hivyo
Hujui hata km kuna tofauti ya camera
Kuonea wivu pesa za watu ni tabia zetu akina dada, Achana nazo.
KabisaHadi fake tuzitafute mkuu tusiache kuzitafuta tuzipate tupige nazo picha
Kuna mjane kaja kutetea dollarNi hili hili tu au Mnamaisha yenu?. Wanandoa hawaingiliwi daima 😂😂
Kuna mjane kaja kutetea dollarNi hili hili tu au Mnamaisha yenu?. Wanandoa hawaingiliwi daima 😂😂
Wewe mshamba haujui kitu Lima kwenu maparachichi ukatembezeKabisa
Nayo ni hatua pia
Ukiwa kapuku hata feki huwezi kukutana nazo,nani anambambikia Dola mtu kapuku?
Wanabambikiana matajiri wafanyabiashara.
😹😹 nkamu atajijolea mwenzio kashapanic kiki yake imebuma umempiga spana kali.!Kabisa
Nayo ni hatua pia
Ukiwa kapuku hata feki huwezi kukutana nazo,nani anambambikia Dola mtu kapuku?
Wanabambikiana matajiri wafanyabiashara.
Ukome mjane mwenyewe uliyetelekezwa na wafaransa kiga.!Kuna mjane kaja kutetea dollar
Big Bro kijana wetu nini??
Tayari nipo nalima Mkuu na ninauzaWewe mshamba haujui kitu Lima kwenu maparachichi ukatembeze
Haujui kitu wewe kujifanya mpenda kwenda kanisani kumbe mzinifu mkubwaTayari nipo nalima Mkuu na ninauza
Ila katika hili basi hata wewe ni mshamba mwenzangu
Sawa mjuziHaujui kitu wewe
Ukome mjane mwenyewe uliyetelekezwa na wafaransa kiga.!
Labda na hao ndugu zako unaowaita wdfk
😁😂😂😂😁😁😁 Sawa sawa kisukari kimepanda 😂😁😁😁Sawa mjuzi
Yawezekana si vyote unajua
Hili hujui,zunguka hapo kariakoo ushike shike Dola utazijua tu Mkuu
Focus na mambo yako acha kuwapa watu kiki mwisho upate ban bureeUkome mjane mwenyewe uliyetelekezwa na wafaransa kiga.!
Labda na hao ndugu zako unaowaita wdfk
😁😂😂😁😁Kaka kwemaHii ligi hakuna mtu kupanic.....
Mpaka ijulikane nani kitunguu na nani nyanya hapa 😂😂😂😂
Niliacha kuwajibu Ila hili la dollar nilitaka kumuelewesha ili nimtoe kamasi, nikagundua hataki kujifunza ana chuki binafsi.!Lamomy umeshavuka levo za watu wengi humu, usihangaike na watu wanaokuchokonoa just keep calm mtu akupende asikupende achana naye