ephen_
JF-Expert Member
- Oct 28, 2022
- 16,787
- 61,256
Dah! Pole kisa nini mkwe mbona wewe upo vizuriNimeachwa mkwe,
Dah! Pole kisa nini mkwe mbona wewe upo vizuriNimeachwa mkwe,
Itabidi nikupe ofa siku mojaNkamu cake nzuri 😍😋
Nilichokiona una kiroho cha kwanini (roho ya kazopata)Brand Gani 😂😁🤣😂😁😁 kuediti picha nayo ujui 😂🤣😁😁😁 unaedit dollar unazipaka rangi ya kijani 😂😁🤣😂😂😁 shame Shame shame shame View attachment 3060933
Kwa sababu hataki MTU aliyeokoka na anayesali Kwa Mwamposa.Dah! Pole kisa nini mkwe mbona wewe upo vizuri
Ndio tatizo hilo, ila ungeusoma mchezo ungerudi kivingine nkamu.!!Boss alikuwa kausha damu
Nikamkimbia
Nashika hela ndefu hanilipi vizuri hata nauli tu haitoshi
Sasa wapi nimesema roho imeniuma ndugu ?Mkuu hadi picha ya dollar za mtu inakuuma roho?
Hizo zake ni mpya bado hazijapita mikononi sana
Hujambo mkuuKwema humu
Sijambo kaka kwema hukoHujambo mkuu
Mbona unamwambia siyo dollar wakati hizo ni dollar labda kama wewe huzijuiSasa wapi nimesema roho imeniuma ndugu ?
Dah! Basi tafuta mwenzako mnayesali wote kwa mwamposaKwa sababu hataki MTU aliyeokoka na anayesali Kwa Mwamposa.
Wadada mna nini lakini
Ajabu hii, week nzima kaugulia kaona aje alazimishe zionekane fake.!!Mkuu hadi picha ya dollar za mtu inakuuma roho?
Hizo zake ni mpya bado hazijapita mikononi sana
Una uhakika sizijui dollar kweli😂😁😁😁😁?Mbona unamwambia siyo dollar wakati hizo ni dollar labda kama wewe huzijui
Mwenyewe siwataki ninao Sali nao huku,Dah! Basi tafuta mwenzako mnayesali wote kwa mwamposa
Kwa kweliNdio tatizo hilo, ila ungeusoma mchezo ungerudi kivingine nkamu.!!
Unaweza kuanza kidogo kidogo
Kwa comment yako nadhani huzijuiUna uhakika sizijui dollar kweli😂😁😁😁😁?
Hazijui mipumbavu km hii ni kuachana nayoMbona unamwambia siyo dollar wakati hizo ni dollar labda kama wewe huzijui
Sio kweli labda wewe Mimi mtoto wa kariakoo najua fake na ojii wewe ujui kitu😂😁😁Kwa comment yako nadhani huzijui