Ilikuwa mtu akinikazia macho
Na Mimi namkazia[emoji23][emoji23][emoji23]
Kwanza ukiniona,sifananii hata kuwa na pesa,juu ya mfuko nimeweka vikoti vya elfu 1 na kijora Cha 5500
Mekatisha na pesa tandahimba narung'ombe,nakuja Congo kuchagua vijora,nipo nazo
Nashuka karume mtumbani nipo nazo
Yaani huyu Malaika wa ulinzi hana mbambamba.
Kipindi Fulani nimerudi Mbeya
Nakatika na minote yetu ml2
Wanasemaje eti wasije wakakuibia
Yaani sijaibiwa pesa Kariakoo nije kuibiwa huko Mbeya vijijini[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Eti ooh wanaibia madawa
Mimi:hakuna kitu kama hicho
Eti tema mate chini