Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Umenikumbusha mbali Kariakoo
Wakati ndio naingia mjini tu
Siku moja nilibambikiwa Dola feki za note 100 kama 5 hivi

Nikashtuka
Nikajua aliyenibambika

Sijui ningembebea tajiri mbeleko gani💔😂
Mshahara wangu wa miezi kadhaa ningetumia kulipa deni
😂😂😂 Nkamu walikukaribisha.!!
Mi dollar nachukua kwa wateja maalum wakongo na wazimbabwe na nazijua kuziangalia.!!

Hawa makanjanja wengine nawaelekeza kwenye bureau wakakatishe waje na shillings sitaki kuumizana vichwa 😹😹😹
 
😂😂😂 Nkamu walikukaribisha.!!
Mi dollar nachukua kwa wateja maalum wakongo na wazimbwabwe na nazijua kuziangalia.!!

Hawa makanjanja wengine nawaelekeza kwenye bureau wakakatishe waje na shillings sitaki kuumizana vichwa 😹😹😹
Nilimshtukia akawa ananidai sana chenji
Hela zake nikaweka pembeni
Sikuchanganya
Angeniliza hivihivi naona

Baadaye nilivyozoea nikawa nikiishika tu nagundua
 
Kuna jamaa
Uroho wa pesa

Akawa anaenda kubadilisha mtaani ili tzs anachukua Dola apate Cha juu exchange rate ikiwa vzr
Nikamwambia omba mganga wako wa ulinzi awe mkali,usipojee Dola feki

Ulibambikiwa feki huko mtaani utalia na kusaga meno
Note 1 ya Dola mia ni laki 2
Sijui utambembea mhindi mbeleko gani 🤣🤣
😂😂😂 Nkamu walikukaribisha.!!
Mi dollar nachukua kwa wateja maalum wakongo na wazimbabwe na nazijua kuziangalia.!!

Hawa makanjanja wengine nawaelekeza kwenye bureau wakakatishe waje na shillings sitaki kuumizana vichwa 😹😹😹
j
 
Kuna jamaa
Uroho wa pesa

Akawa anaenda kubadilisha mtaani ili tzs anachukua Dola apate Cha juu exchange rate ikiwa vzr
Nikamwambia omba mganga wako wa ulinzi awe mkali,usipojee Dola feki

Ulibambikiwa feki huko mtaani utalia na kusaga meno
Note 1 ya Dola mia ni laki 2
Sijui utambembea mhindi mbeleko gani 🤣🤣

j
Kuna mtu alilizwa na madereva wa transit kijinga kwa tamaa zake.!!
Nilimwambia hao madereva wana dollar feki usiwaamini akakaza fuvu.!!
Walimlamba million 3 wakampa kanyaboya 😹😹😹
 
Kkoo kila mtu anatafuta wa kumuibia 😹😹
Hao dawa yao kuwauzia kwa shilling wala huumizi kichwa.!!
Kila mtu mjanja
Hapo nikimaloza hekaheka za kuibkana Dola
Nahamia hekaheka za mwendokasi gerezani
Na burungutu la dola
Nilikuwa natia kwenye kifungashio Cha jero
Mbinu za kivita
Juu naweka machungwa

Dar hakupoi hakuboi
 
😂😂😂 nkamu hiyo kiboko unajazia na machungwa khaaa.!!
Unaenda na pesa nyumbani??
Mi nikitoa pesa ni bank, nyumbani situnzi aisee.!!
Ni risk kubwa sana unaweza kuvamiwa
 
Back
Top Bottom