Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 36,212
- 86,849
Ulizibeba ukiwa bongo?Sure Kuna siku nilibeba hivi miaka mitano nyuma japo safari ilikuwa ndefu ila sikua na wasi wasi kabisa yaaniView attachment 3057982
Ulizibeba ukiwa bongo?Sure Kuna siku nilibeba hivi miaka mitano nyuma japo safari ilikuwa ndefu ila sikua na wasi wasi kabisa yaaniView attachment 3057982
Yaa! Asrusha to dar es kama, ila nilizurura pale Arusha kwa uhuru kabisa , sijui ingekuwaje kama ingekuwa misimbazi yetu hiiUlizibeba ukiwa bongo?
Nimekuwa kivutio cha mali asili mi 😹😹Weee embu tupia nyingine 😊
Nilimshtukia akawa ananidai sana chenji😂😂😂 Nkamu walikukaribisha.!!
Mi dollar nachukua kwa wateja maalum wakongo na wazimbwabwe na nazijua kuziangalia.!!
Hawa makanjanja wengine nawaelekeza kwenye bureau wakakatishe waje na shillings sitaki kuumizana vichwa 😹😹😹
Doooooh aiseeeeNimekuwa kivutio cha mali asili mi 😹😹
Hizi natupia siku nikijisikia, subiri siku nyingine nikiwa na vibe
j😂😂😂 Nkamu walikukaribisha.!!
Mi dollar nachukua kwa wateja maalum wakongo na wazimbabwe na nazijua kuziangalia.!!
Hawa makanjanja wengine nawaelekeza kwenye bureau wakakatishe waje na shillings sitaki kuumizana vichwa 😹😹😹
Kkoo kila mtu anatafuta wa kumuibia 😹😹Nilimshtukia akawa ananidai sana chenji
Hela zake nikaweka pembeni
Sikuchanganya
Angeniliza hivihivi naona
Baadaye nilivyozoea nikawa nikiishika tu nagundua
Trooooka pepo shendrwaaaa kwa jina la Yesu 😹😹Doooooh aiseeee
Sema hicho kisket ni suala la kukipandisha alafu hicho kisuruali ni kukishusha chini alafu 👅👅🔥🔥🔥🔥
Kuna mtu alilizwa na madereva wa transit kijinga kwa tamaa zake.!!Kuna jamaa
Uroho wa pesa
Akawa anaenda kubadilisha mtaani ili tzs anachukua Dola apate Cha juu exchange rate ikiwa vzr
Nikamwambia omba mganga wako wa ulinzi awe mkali,usipojee Dola feki
Ulibambikiwa feki huko mtaani utalia na kusaga meno
Note 1 ya Dola mia ni laki 2
Sijui utambembea mhindi mbeleko gani 🤣🤣
j
Misimbazi inajaa lazima wadudu wangekukalisha mtu kati 😹😹Yaa! Asrusha to dar es kama, ila nilizurura pale Arusha kwa uhuru kabisa , sijui ingekuwaje kama ingekuwa misimbazi yetu hii
Kila mtu mjanjaKkoo kila mtu anatafuta wa kumuibia 😹😹
Hao dawa yao kuwauzia kwa shilling wala huumizi kichwa.!!
😂😂😂 nkamu hiyo kiboko unajazia na machungwa khaaa.!!Kila mtu mjanja
Hapo nikimaloza hekaheka za kuibkana Dola
Nahamia hekaheka za mwendokasi gerezani
Na burungutu la dola
Nilikuwa natia kwenye kifungashio Cha jero
Mbinu za kivita
Juu naweka machungwa
Dar hakupoi hakuboi
Nilikuwa nazurula nazo😂😂😂 nkamu hiyo kiboko unajazia na machungwa khaaa.!!
Unaenda na pesa nyumbani??
Mi nikitoa pesa ni bank, nyumbani situnzi aisee.!!
Ni risk kubwa sana unaweza kuvamiwa
Misimbazi inajaa lazima wadudu wangekukalisha mtu kati 😹😹
Hiyo pete ni yanini😜Picha maalum kwaajili ya raraa reree 😹
Una hatari sana.!!Nilikuwa nazurula nazo
Mganga wangu mkali😂😂😂😂
Mimi nikienda kudeposit shillings nazibeba kwenye bag mgongoni 😹😹😹Note za Tz ni mzigo
Usd unyama ni mwingi
Hata pochi inakaa kitajiri
Ya kidole 😹Hiyo pete ni yanini😜
Naona😁😁😁Ya kidole 😹
Umeipenda nikupe umpelekee wifi 😹Naona😁😁😁