Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Sijui ni lini hela za bongo zitakuwa na thamani, hizo zingekuwa madafu yetu hio sehemu ingejaa hela tupu
Acha kabisa pesa za bongo hapo zingejaa kifungashio cha 500.!
Shilling haina thamani na hivi dollar imepanda ndio kabisa ukibeba 50m una bonge la mzigo.!
 
Changamoto mno, kuna siku nilibeba milioni 5 keshi ni kamzigo fulani kanachokukosesha utulivu ila ingekuwa za wenzetu unaweka kwenye walet tu, wakati ufike kuwe na noti ya laki
 
😹😹😹 noti ya laki.!!
Umefanya nicheke aiseee.!!
Mzungu pesa yake ukiibeba kuna ka confidence flani kanakujaga automatically
 
Sure Kuna siku nilibeba hivi miaka mitano nyuma japo safari ilikuwa ndefu ila sikua na wasi wasi kabisa yaani
Screenshot_20240731-222332.jpg
 
Back
Top Bottom