Django Doer
JF-Expert Member
- Jun 30, 2023
- 2,865
- 5,244
Twitter userWho this 😁🤣
Twitter userWho this 😁🤣
😆🤣🤣🤣🤣🤣Usiulize pamoja na kupoteza miwani yangu ya macho nimewezaje kuzoom-in 😅
Furahieni maisha Mkuu 🤗
🤣🤣🤣 Basi babu tuishie hapo tu.Sijui hata nilikuwa nawaza nini
Unajua nimechukua muda mrefu sana kuelewa swali lako
Kweli tumezeeka sasa 🙌
Amepotea sana Mjukuu wangu yule🤣🤣🤣 Basi babu tuishie hapo tu.
Akitoka kifungoni tutaendelea 😁
Hahaha wala hata hajapotea itakuwa yuko humu na id nyingine ingia whatsapp muulize anatumia id gani atakujibu au mpaka bestie ake aje kusema hapaAmepotea sana Mjukuu wangu yule
D
Kuna wakati huwa natamani ningepewa kazi ya u-mods ningewatoa kifungoni wote Kila tarehe 1 ya Mwezi mpya 😜
same as unaolewa na mtu kumbe haisimami😂😂Lakini kwa kizazi hiki lazima ujiridhishe kama yaliyomo yamo! Kuna wanawake mashoga! Unamwingiza ndani unakutana na mtalimbo! Unaweza kulia!
Kwahiyo lazima uonje kama mashine inaperform sio?? 😂😂😂 vipi ukiolewa ukakuta hasimamishi inakuwaje? Unamuacha? Kama unamuacha kilichokupeleka ni kuchakatana au mapenzi kwa ujumla wake? Niambie Amehlosame as unaolewa na mtu kumbe haisimami😂😂
Samahani, hivi wewe ndo yule kibuyu.?? HahaZa dini ili upako uongezeke tunene kwa lugha 😹😹😹
Ana macho flan hv
Amaizing eeAna macho flan hv
Mtoto mzuri inaonekana hapendi Hela kbsAmaizing ee
Hapo kwenye hela hapana anapenda sana tuMtoto mzuri inaonekana hapendi Hela kbs
😂😂😂sasa unaolewa na mtu hujajua kama utamuweza au hutaweza na ni pingu za maisha 😂😂Kwahiyo lazima uonje kama mashine inaperform sio?? 😂😂😂 vipi ukiolewa ukakuta hasimamishi inakuwaje? Unamuacha? Kama unamuacha kilichokupeleka ni kuchakatana au mapenzi kwa ujumla wake? Niambie Amehlo
Hujui tu nilivyosononeka.Umefeli wapi kijana 😀😀
Muda tayarHujui tu nilivyosononeka.
Itabidi irudiwe
Kuchakatana kabla ni muhimu sana mkuu.😂😂😂sasa unaolewa na mtu hujajua kama utamuweza au hutaweza na ni pingu za maisha 😂😂
sasa kama haisimami? ndoa inakuaje main spice kwenye ndoa ni hilo mnaloliita tendo la ndoa sasa kama halipo inakuaje ndoa
Haha acha kumpibu chinoMuda tayarView attachment 3035997
Njoo ule firigisi 😃
Kwani boda shingapi kwanza.