Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 71,977
- 177,200
Kuhamisha tena doh!Watoe nje nihamishe gallery humu
Umetishaaa..
Sema usihanishe gallery yote wee tupia moko moko tu !
Kumbe weee mwoga.
Kuhamisha tena doh!Watoe nje nihamishe gallery humu
Santo sana
Nawe tubless basi
Upo vizuri!☺️🎵🎵Na kwenye midomo ya simba Nikatoka salamaa
Naaa jangwani ukafanya kisima
Tenaaa kisima
Kisima cha uzima🎶🎶
Muwe na siku njema wapendwa
raraa reree ni mzembe! Anamuachaje mwarabu☺️
Santo sana
Nawe tubless basi
😭😭😭raraa reree ni mzembe! Anamuachaje mwarabu☺️
Ebhanaeeeeeee 🔥🔥🔥
Nyamwi Nyamwi umetisha
Filter tu kipenziii!Upo vizuri!☺️
😭😭😭Ebhanaeeeeeee 🔥🔥🔥
jamaa atakojolea pazuri aisee
Jamaa yupi?Mr @--ee au huyu WA trh 13jamaa atakojolea pazuri aisee
Hajaniruhusu😂Filter tu kipenziii!
Mchumbako hajakuruhusu unichekiepo🤳 moko hapo😁
Jina na avatar yako havisadifu kabisaa, em badilisha bhanaa.
Nougaaa sanaa mamy unawakaaaaa🔥🔥🔥🔥😍😍😍!
Mwambie aache wasiwasi banaa😁😁Hajaniruhusu😂
Hahahaha 🥰🥰🙏Nougaaa sanaa mamy unawakaaaaa🔥🔥🔥🔥😍😍😍!
Hakika mchana wangu unaenda kuwa fureeeeeeeeeseesshhhhh kabesaaa
Wabheja sana