Django Doer
JF-Expert Member
- Jun 30, 2023
- 2,865
- 5,259
Hujaulizwa mkuuKutumia id mpya uje kupambana ni uoga
Hujaulizwa mkuuKutumia id mpya uje kupambana ni uoga
Vipi mkuu. Kuna ban zinaendelea au?Tumia akili dogo
We ndio huyo mzee wa hovyo?Hujaulizwa mkuu
Yes kuwa makini *Vipi mkuu. Kuna ban zinaendelea au?
Umeona eeh 😜Babu huyo bibi hapana hauendani naye coca mchokozi 😹😹😹
Nakuletea babu 😹Siwezi kusimulia hadi niwe nimevuta Kiko yangu, kwahiyo jitahidi uniletee.
Otherwise nitajikuta naongea peke yangu kutwa nzima 😜
😹😹😹 kakukosea sanaUmeona eeh 😜
Hata kama tuna ule msemo kwamba Simba akikosa nyama anakula nyasi, lakini sio Kwa type hiyo aisee 🙌
Kwa kweli Mjukuu 🤗😹😹😹 kakukosea sana
Msalimie Mjukuu, Bracelet yake ya mguu imempendeza sana 🤗
Haha sema tu ana mwili mtamu hayo mambo ya bracelet achana nayoMsalimie Mjukuu, Bracelet yake ya mguu imempendeza sana 🤗
Nitamchapa aache kumfananisha bibi na vitu vya ajabu 😹Kwa kweli Mjukuu 🤗
Usiulize pamoja na kupoteza miwani yangu ya macho nimewezaje kuzoom-in 😅
Who this 😁🤣