amshapopo
JF-Expert Member
- Sep 7, 2014
- 2,162
- 4,742
Jamaa atafaidi toto jeupe
Bibi harusi mtarajiwa...🌝
View attachment 3034614
Bibi harusi mtarajiwa...🌝
View attachment 3034614
Ebhanaeeeee 🔥🔥🔥Bibi harusi mtarajiwa...🌝
View attachment 3034614
Mimi pia dada mchungaji, hope upo vizuriNimefurahi kukuona bro 😂
Hahah bibi alinambia wanaume wanapenda samaki sanaSijui ni Bibi yako alikupa code ya vyakula nivipendavyo 😋
Isingekuwa shughuli za shamba kunibana, ningekuja kuonja mapishi ya Mjukuu 🤗
Kuna haja tuongeze kile kiwango cha Posa yako, Kwa mapishi hayo Wazee hatutapokea Chini ya milioni 20 mahari 😜
Njoo jamniNiite na mimi basi....
😂😂😂
Acha kabisa hapo muwe wawili watatu mezani huku story zinaendaAinhhhh hiki chakula ni kitamu jamaniii
Na kamtindi amazingAcha kabisa hapo muwe wawili watatu mezani huku story zinaenda
Mimi pia dada mchungaji, hope upo vizuri
We umeshashindikanaMchumba ongeza maombi sana, Mungu atatenda miujiza🙏
Mpambewako hajarudi 😀Aiseee! Hii hatar
KaribuChakula changu pendwa kabisa mkuu
Tuachane na mpambe, nimerudi geto hapa sielewi nakula nini kwenda kununua msosi naona uvivu naingia selfika nakutana na msosiMpambewako hajarudi 😀
Kuna nn ndani nikupe Cha kupika chap🤣🤣Tuachane na mpambe, nimerudi geto hapa sielewi nakula nini kwenda kununua msosi naona uvivu naingia selfika nakutana na msosi
Leo sipiki nimejichoka hapa ni kuchanganya miguu nikapate msos huko njeKuna nn ndani nikupe Cha kupika chap🤣🤣
Kataa ndoa oyee😀😀Leo sipiki nimejichoka hapa ni kuchanganya miguu nikapate msos huko nje
Nlijua tu utawaza hvo 😁😁Kataa ndoa oyee😀😀
Ngoja nikupe locationLeo sipiki nimejichoka hapa ni kuchanganya miguu nikapate msos huko nje
Ungekua serious usingeniambia hapa kimya kimya PM.....wallahi dkk 2 nyingi ningekua hapo tuchape K vengaNgoja nikupe location
Tutemeshe headlines za jf 🤣🤣🤣
Mm mwenyew hiz tareh kabich Huwa halinibariki View attachment 3035174🤣🤣🤣
mchumba huna imani eeh ongeza maombi🙏We umeshashindikana