afu mie nabebishana na boss hapa majukwaani, handsome boe anapiga kimya kimyaa!! Mie ntakuja kufa mwili unatetema km jenerata bovu LA kingimax. Khaaaah.
Ex zanguu mrudii selfikaa, mamsapuu wenuu nawahitajii hapaa.
Jamani kariri skin tone hio, kariri kila kitu kuna maangamizi yanakuja...
Usilete ugomvi na mtu humfahamu, am IT by professionl...
naweza fanya tukio humu hadi TCRA waingilie kati...

Anajichosha huyo analeta picha hata sizielewi alikozitoa, yeye kunijua mimi atasubiri sana.!!
Ulimwengu wa fake ids anaforce kufahamiana na watu. ππππ