Selfika na JF: Snap it. Show it

Umejitahidi mwenyewe kutafuta kiki ila muda wa kukupa sina.!! Eti warembo khaaa ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ

Warembooo?? Which? Where? Who? Hivi una utani na warembo?? Hapa selfika kuna warembo?? Dah.!! Hebu nitafute miwani nivae. ๐Ÿ˜Ž๐Ÿ˜Ž๐Ÿ˜Ž๐Ÿ˜Ž wako wapi warembo??

Wewe tuliza shipa tafuta bwana uolewe, utakuja na kila id ila haibadilishi ukweli tumeona
 
Kumbe ndio ujinga wanaolishana basi pole yao.!! Karma imenikuta?!! Karma ipi? Wameona hata mwili hapa?? Hiyo karma ilimkuta mwenyewe kwa kusema watu uko pm, nimwambie tyuu haiwezi kumuondelea maumivu yaliyotokea yametokea na wananzengo tumeona, hii kubadili id kujileta na kujichekesha haitompa relief yoyote. Kikubwa akungโ€™ute vumbi makalioni asonge mbele..!!

Kuanza upya sio ujinga, halafu mimi siye niliyetuma picha zake, ni watesi wake ndio waliomsulubu.!! Na nyie wengine acheni unafiki tuna pdf zenu msitake tuchefukwe hapa.!! Hebu uduguu niletee majina yao hao wanafiki tuone
 
unajua kwamba unaangaliwa mwisho na sio mwanzo!?
Sometimes maisha ya kiimani magumu sana ntajizuia kufanya hiki vingine ntashindwa kujizuia ndo maana mda mwngn naona bora niende full margins
 
Tulia hapo hapo sweetheart...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ