usipunguze ila acha kabisa π€ΌββοΈWacha nipunguze kuvuta hii Kiko, huenda Kuna kitu kimechanganywa π€
Sawa Mjukuu, nitafanya hivyo japo sidhani kama ni rahisi kuachia kwenye Uzee huu nilionao πusipunguze ila acha kabisa π€ΌββοΈ
Babu mkwe wako ameshaanza gubuHii taarifa nilikuwa nayo tangu last month, japo alisema anakuja kwako ulikuwa umemwita.
Kwakuwa Babu yenu Sina noma, nilimtaarifu na Bibi yenu ili akubali Mjukuu aende huko Mbagala tukijua anakuja kwako π
sema na izo pamba kali nitaziomba nimpe mkwe wako,,yupo kama anavaa magunia hukuπ€ΌββοΈSawa Mjukuu, nitafanya hivyo japo sidhani kama ni rahisi kuachia kwenye Uzee huu nilionao π
Hahaha...........umenifanya nicheke kwahiyo mnataka niwape urithi wa Mashamba pamoja na Pamba za Babu yenu hapa πsema na izo pamba kali nitaziomba nimpe mkwe wako,,yupo kama anavaa magunia hukuπ€ΌββοΈ
babu muelewa sana wewe πππHahaha...........umenifanya nicheke kwahiyo mnataka niwape urithi wa Mashamba pamoja na Pamba za Babu yenu hapa π
Limeni mazao ya mda mfupi kama nyanya na hohomiti ndo hukaa mda mrefu,ila parachichi zile za kubadi ni mda mfupi tu kuanzia mwaka coz mingine huzaa ikiwa midogo balaa
Hahaha........naona unataka kunijaza Babu yako nizidi kuongeza mashamba ya kuwapa π€πbabu muelewa sana wewe πππ
basi unajiona mjanja mwenyewe kutushauri ivo,, as long as unashindia hoho ukoπ€ΌββοΈLimeni mazao ya mda mfupi kama nyanya na hoho
babu upo masaa ya mbele sana,,sipatii pcha utoto wako,, achana na ujanaπ€ΌββοΈπ ulikua mjanja sanaHahaha........naona unataka kunijaza Babu yako nizidi kuongeza mashamba ya kuwapa π€π
Huyo ndio anaishi huko sasa hivi. Kwani Mimi panya road mpaka nikae mbagala? πHii taarifa nilikuwa nayo tangu last month, japo alisema anakuja kwako ulikuwa umemwita.
Kwakuwa Babu yenu Sina noma, nilimtaarifu na Bibi yenu ili akubali Mjukuu aende huko Mbagala tukijua anakuja kwako π
Haya limeni miti ya mbaoπunapanda mti 2024 unavuna 2034basi unajiona mjanja mwenyewe kutushauri ivo,, as long as unashindia hoho ukoπ€ΌββοΈ
π€£π€£π€£π€£Kwa kweli Mkuu
Ndiyo maana Wazee tulianzisha ule msemo kwamba "Kitanda hakizai haramu" ili kuendana na uhalisia
Unaweza kusafiri kwenda operation nje ya Nchi ama Mkoa fulani miezi 3 hadi 12 na ukarudi ukamkuta Mkeo ana ujauzito ama ana mtoto kabisa, huyo mtoto utamlea na kumtunza as if hakuna kilichotokea π€
Nyie Vijana Siku hizi hadi mnaenda kupima watoto wenu DNA ndiyo mkubali kulea na kuwatunza hao watoto ππ
nimeghairi,,nalima nyanya,siku ukijenga utapaua na maganda ya nyanya,,kila kitu kina umuhim wake π€ΌββοΈπHaya limeni miti ya mbaoπunapanda mti 2024 unavuna 2034
Una lipsi nzuri saana Miss R,ila babu punguza tantalila khaah π€£
asante wajameni ππ€ΌββοΈUna lipsi nzuri saana Miss R,
π
πππ dadeq! Mbao zitakuepo hata ww usipopanda miti....nyanya zitakuepo sokoni hata ww usipolimanimeghairi,,nalima nyanya,siku ukijenga utapaua na maganda ya nyanya,,kila kitu kina umuhim wake π€ΌββοΈπ
kumbuka umesema tuachane na miti,,means wote si ndio π€£ sasa apo nmejtolea mfano mimiπ€ΌββοΈπππ dadeq! Mbao zitakuepo hata ww usipopanda miti....nyanya zitakuepo sokoni hata ww usipolima
Kitu kikiwa muhimu haimaanishi nyie ndo mfanye, hivi nyie watu wa ulaya ndogo mmemkosea nn Mungu....baridi ziwaadhibu nyie bado mlime mazao yanayochukua zaidi ya miaka 10 kukomaakumbuka umesema tuachane na miti,,means wote si ndio π€£ sasa apo nmejtolea mfano mimiπ€ΌββοΈ
Ngoja tuwaite ili kuyajengaBabu mkwe wako ameshaanza gubu