We ndugu yake Elton John tulia basi, sasa utataka u quote jf nzima, acha tupate burudani wakitoka kwenye sms wanaingia kwenye video clip mtu analamba aichikirimu...

Jamani selfika kila siku kuna matukio, sijafungua uzi miezi zaidi ya 5 leo nafungua nakuta sekeseke mullllah......haya ngoja nikae na popcorn hapa nione kinachojiri