Selfika na JF: Snap it. Show it

Siwezi kuongea na mtu mjinga mimi. Nkamu huyu kantri anapenda sifa za kijinga, kila muda anajisemesha vimaneno km zai kijiwe nongwa vile
Huwezi tena kuongea na mtu mjinga? Huwa unapenda kweli kujiweka hivi wakati unajua huna hiyo classy
Nilikuambia nakuonea huruma sababu furaha yako unaipata kwa njia ngumu sana
 
kuhusu lekcharaaa hata naelewa bas, ila alikua ananitambiaaa mie kuwa ana clear bill zote had luku,

Jamaniiiiii woiiiiiiiih
 
Thubutuuuu yakee kwa boss's kujiosha tyuuh hakua hata na tyme, c angempa coverage humu, mmmmzxxxxxxiiiiiieeww!!!
 
Shosti yake yule bandama au yupi huyo? Mana yule kila mtu shosti yake humu

Tabata walimfanyaje? Wahuni walijinyakulia kombe au alichagua bega?
Uduguuuuy jamaniiiii!!!
hatareeee tupuuu.
Sio huyu kongosho, ni kidampaa fulanii hivii. Full tafraniii.
 
Nitumbuliwe wapi? Kuna siku utajiona mjinga sana
Niweke msg zote zipi? Najibu kadri ya kile utachozungumza
Kama kawaida naona unajipandisha tena, huna hiyo hadhi bana ndio maana niliamua kukuchana na ndio sababu upo bado upo in denial.
Mm utaendelea kuniona as long as jambo linanihusu,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…