Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 39,429
- 94,854
Na yeye kashaanza wivu hataki nijibu watu wanaonikwoti πππππππππ unapata wa kufanana nao π
Na yeye kashaanza wivu hataki nijibu watu wanaonikwoti πππππππππ unapata wa kufanana nao π
Mwambie akitaka mtoto mzuri kama wewe, akaze moyo sana. Wanaokuona ni wengi sana πββοΈπββοΈπββοΈπββοΈπββοΈNa yeye kashaanza wivu hataki nijibu watu wanaonikwoti πππ
ππππ Lol!! Nimecheka balaa.Mwambie akitaka mtoto mzuri kama wewe, akaze moyo sana. Wanaokuona ni wengi sana πββοΈπββοΈπββοΈπββοΈπββοΈ
Cheka mdogo wangu, utanue mapafu. Tena huyo alivyo na wivu, subiri uone.ππππ Lol!! Nimecheka balaa.
Asije kupandisha kisukari shauri yake
πππ wee usinambie?? Kwahiyo nishajamix?Cheka mdogo wangu, utanue mapafu. Tena huyo alivyo na wivu, subiri uone.
πππππ usiseme kama nimekuambia πͺπππ wee usinambie?? Kwahiyo nishajamix?
πππ Wewe bi mkubwa utakuwa unamjua vizuriπππππ usiseme kama nimekuambia πͺ
Bi mkubwa ni Saint Anne ndiyo anamjua juu chini π π π ππππ Wewe bi mkubwa utakuwa unamjua vizuri
ππππ Wee usinambie?? Basi km babe wa Nkamu gwangu simtaki. St Anne mi na yy nduguBi mkubwa ni Saint Anne ndiyo anamjua juu chini π π π π
Kuwa na amani, siye wote tulishatoka. Tumekuachia hiyo ni wako, uliyemchagua πΌπ΅π€ππππ Wee usinambie?? Basi km babe wa Nkamu gwangu simtaki. St Anne mi na yy ndugu
Hongera kwa kuwa first lady, ndiyo umuheshimu sasa. Shemeji kasema yeye mpole sana. Tusisikie mmeachana sasa.Nyie wanaume mnaoniachia wote wakorofi, bora Mbaga Jr hajawahi kuwa na mtu humu πππ
Nakuwa wa kwanza mwenyewe
πππ JF kichaka chenye wanyama wakali, utashangaa Mbaga id yake nyingine mzee wa totozHongera kwa kuwa first lady, ndiyo umuheshimu sasa. Shemeji kasema yeye mpole sana. Tusisikie mmeachana sasa.
Mm I'd yangu h tangu niijue JF, so kuwa na amani loveπππ JF kichaka chenye wanyama wakali, utashangaa Mbaga id yake nyingine mzee wa totoz
Nataka ww ndie uwe wa kwanza kuutumia mwili wangu πNyie wanaume mnaoniachia wote wakorofi, bora Mbaga Jr hajawahi kuwa na mtu humu πππ
Nakuwa wa kwanza mwenyewe
Mashallah shemelaa
Bi mkubwa ni Saint Anne ndiyo anamjua juu chini π π π π
Ana maneno huyo Jackππππ Wee usinambie?? Basi km babe wa Nkamu gwangu simtaki. St Anne mi na yy ndugu
My ex uwe unanitag basi jamni. Kwanza nimekumiss sanaπAna maneno huyo Jack
Miaka ya nyuma tukaandikiana hadi mashairi humuπππππππ
Mambo yalikuwa motoπ₯π₯π₯π₯
Hadi watu wakawa wanauliza kama kweli ni kweliπ€£π€£π€£
Thubutuuu!! πππMm I'd yangu h tangu niijue JF, so kuwa na amani love
Nataka ww ndie uwe wa kwanza kuutumia mwili wangu π
Jack una maex wangapi? πππMy ex uwe unanitag basi jamni. Kwanza nimekumiss sanaπ
Beibe ninao wengi sana, umeamkaje?Jack una maex wangapi? πππ
Haujazi SGR kweli??