Selfika na JF: Snap it. Show it

Usisahau kuniombea niwe mume bora kwako na niweze kutimiza haja ya moyo wako love 🥰 uwe na usiku poa sana my love next morning ni wakati mwngn wa mm kujaribu kufufua ubavu wangu wa kushoto kwenye mwili wako.

Love u honey 😍
 
Unazingua 😂😂😂😂
Hatukuwahi kuwa na serious relationship bana, ni mawasiliano tyuuu.!! Just hi, hi hivyo
Thanks God, nilipata kimuhemuhe kusubiri jibu hili, ingekuwa tofauti na hv nngeumia knoma. Atleast nisijue na hata huo ukweli nisiujue tuu mana ntaumia sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…