Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 45,291
- 95,602
Hivi humu watu wana selfika bado ?Hakuna matata
Hivi humu watu wana selfika bado ?Hakuna matata
Njoo tuwe madalali wa furniture huku kilosajidanganye,, usiache io kazi aseeee
io nauli adi kufika uko,si nifungue kibanda cha matunda na mboga mboga tu.Njoo tuwe madalali wa furniture huku kilosa
Kumbe Kuna umri mkifika mnakua vzr kichwani.... kipindi ukiwa na 23yrs ukitumiwa 200k nauli dar njombe unaona haitoshi lkn saiv 25k unaona ni mtaji kbsio nauli adi kufika uko,si nifungue kibanda cha matunda na mboga mboga tu.
sasa mbona ndo nipo huo umri 🤣🤣🤣Kumbe Kuna umri mkifika mnakua vzr kichwani.... kipindi ukiwa na 23yrs ukitumiwa 200k nauli dar njombe unaona haitoshi lkn saiv 25k unaona ni mtaji kbs
Haaaaaah! Huku Kenya umri huo unatakiwa uwe kwenye maandamano ya kupinga financial billsasa mbona ndo nipo huo umri 🤣🤣🤣
Wanapiga makelele tu naona hawa selfiki skuiziHivi humu watu wana selfika bado ?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Watu feki
Ndiwoooo lekcharaaaaa!!!
Njoo unywe biaNdiwoooo lekcharaaaaa!!!
Tag loc lekchaaa, nakujaa chaapNjoo unywe bia
Uje na beibe wangu sasaTag loc lekchaaa, nakujaa chaap
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] afu tumeachana Co mda, tulikua woteee.Uje na beibe wangu sasa
ahaaa mstue chap aje[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] afu tumeachana Co mda, tulikua woteee.
Si ungesema mda, aaaah jamaniiiii
Ngoja nimstueee babeee akoahaaa mstue chap aje
Kheee mbona hujanambia kwahiyo huyu mpare niliyetaka kumkubalia nimtoseBff huyo Mbaga mimi simtaki, siwapendi wapare wachawi na visirani sana 🤣🤣
Unazingua 😂😂😂Usisahau kuniombea niwe mume bora kwako na niweze kutimiza haja ya moyo wako love 🥰 uwe na usiku poa sana my love next morning ni wakati mwngn wa mm kujaribu kufufua ubavu wangu wa kushoto kwenye mwili wako.
Love u honey 😍