Selfika na JF: Snap it. Show it

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ kuna wanaume wanapenda wanawake wakali, wenye gubu. Itakuwa na huyu Mbaga ndiyo walewale... ukoo wa gubu huu
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Kajichoka, halafu kuna siku tulianzia kuna comment nilimjibu shit afu akanijibu kistaarabu mwenyewe mpk drone drake akamshangaa km ni yeye kweli Mbaga?? Basi toka hapo kaniganda. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Ila Mbaga ni kichaa na mkorofi usimuone hivyo, vijana wa chugga wote bangi nyingi hafu nna mikosi nao humu.!!
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] apite mwenye gubu na chama chetu sasa.!! Utasikia mnajifariji tyuu.!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uduguuu unanivunjaa mbavu leo, wallah.
 
Mdogo wangu, why yote yanaanzia kwenye magomvi? Kuna siri gani hapo.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] udugu nina nyota na waparee, yaan najimix nikija kuibuka mpare huyu hapaaa, toka yulee mhayaa aendee. Wapare wananidakaa km nna ubia nao,
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mm mpole sana, hapa napokaa nna kama miaka 10 ila kuna watu hawanijui wngn wanauliza hv ww una marafiki kwel mbona cjawah kukuona ht unapiga story na mtu 😎
Mfyuuu!! Toka lini? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…