Selfika na JF: Snap it. Show it

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nyie ba tamu nikimtibua huwa ananipa neno 1 nanywea maji, hapo ntaanza kumchamba yeye had atachukia.

Kuna siku nilijichanganya afu tulikua wote Pa1, nilipewa kelbu ya shavu, nililia ile siku, sikumsamehe had alipooni pooza na ka farangaa.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mapenzi yanataka heka heka.
 
Wehhhh cazee wa coca mbona kavu hivyo.!!! [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Haya coca unaitwa upeleke kitafunwa, mi nikalale hii comment imenichosha [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uduguuuu jamaniiiii, cpati picha umecheka vipi hapooo, woiiiiiiih
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…