Mapenzi ya kugombana, kutoleana shits, kununiana, kulambana block, asikwambie mtu matamu sana..!! Halafu kwenye ugomvi ndio mtu anakwambia kasoro zako kweli lazima upanic π€£π€£π€£π€£π€£[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaani mie nisipo mchokoza ba tamu sijisikii raha, huwa namuambiaga mie sipendi amani, vita vita ndo nataka.
Leo mchana nkaanza kumcharua kimasikhara, sasa kuna neno alinambia lilinitibua, nisianze kumpa kichambo cha serious.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaaan full tafraniiii
Kama kwel wewe mtoto wa shangaz kitumbua niletee mala moja tuCazeee ake!! Handsome boe!!
[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Mvuto wenyewe wa marungu wanaoHawana mvuto wa kiume πππ
Wehhhh cazee wa coca mbona kavu hivyo.!!! π€£π€£π€£π€£π€£Kama kwel wewe mtoto wa shangaz kitumbua niletee mala moja tu
Tafadhal lejea maneno tajwa hapo kwenye hiyo sms,,Wehhhh cazee wa coca mbona mkavu hivyo.!!! π€£π€£π€£π€£π€£
Haya coca unaitwa upeleke kitafunwa, mi nikalale hii comment imenichosha πππ
Mdaka machoziMapenzi ya kugombana, kutoleana shits, kununiana, kulambana block, asikwambie mtu matamu sana..!! Halafu kwenye ugomvi ndio mtu anakwambia kasoro zako kweli lazima upanic π€£π€£π€£π€£π€£
Ngoja nikamchokoze honeyyy wangu kwanza, nilimlamba block ngoja nimu unblock nimchefue kidogo afu namlamba block nyingine.!! Hakuna amani hapa.!!
Last time aliniambia neno lilinichefua hata alivyompigia simu dada anipe simu nilimgomea kuongea naye π€£π€£π€£π€£
πNgoja nikamchokoze honeyyy wangu kwanza, nilimlamba block ngoja nimu unblock nimchefue kidogo afu namlamba block nyingine.!! Hakuna amani hapa.!!
Chino, unaibukaga km mafuriko πππMdaka machozi
naye ana moyo
ππππ Ila inachekesha banaUsijibu hizo comment bhana π
ππππ usijali mtu mwenyewe yuko zake abroad, muda huu anajiandaa kwenda job.π
Unajua kuna time nshawaza kukublock ili nisione comment zinazoniboa ila ndo hvy Siwez tuu ynππππ Ila inachekesha bana
We si unajificha banaChino, unaibukaga km mafuriko πππ
ππππ jeuri ya kuniblock mimi uitoe wapi? Mi nishakuwa kilevi chako.!!Unajua kuna time nshawaza kukublock ili nisione comment zinazoniboa ila ndo hvy Siwez tuu yn
πππ poleWe si unajificha bana
Mpaka chino nimedandia tashrif.
Uko sahihi, na Siwez ht kukasirika kwa Comments zako ambazo sizipendi ila ntakuambia tuuππππ jeuri ya kuniblock mimi uitoe wapi? Mi nishakuwa kilevi chako.!!