Kwahiyo ww Noel ndo kakushawishi?? Baki hivyo hivyo bana, mi natamani kurudi nilikotoka kwenye low cut. Leo nilikuwa natazama pic zangu nimewaza nataka nifanye maamuzi magumu.
huku mvua hakuna bwana ni mawingu tu no jua.Leo ni mwendo wa masweta tangu asubuh hali ya hewa ni njombe tupu
nmenyoa kawaida kabisa kama mwanafunz πWeka nawe tuige style π
ππππ Mimi nilitamanigi kuna kipindi ila shem wako akasema ukianza kusokota dread huna muda utaulizia mpepe ukamilike dada Bob π€£ila ntakuja kuweka dreads, nakaa nazo week afu nanyoaa zote.
Lazima nijue nikiwa na dreads nakuajee, woiiiih
Hivo hivo tuone πnmenyoa kawaida kabisa kama mwanafunz π
Naona anazunguka sana hayuko straight π€£π€£π€£πππ Mjinga wew
Nimetinga sweta la traki naenjoy hali ya hewa at standard temperature & pressure (S.T.P)Mbona unalalamika sana na baridi si utume ticket Ms R aje kukupasha bro π€£π€£π€£
Si ndo li ba tamu hili limeni cancel, linasema ukiweka dreads utadharaurika mara mia, yule noel ni designer wee je?Mimi nilitamanigi kuna kipindi ila shem wako akasema ukianza kusokota dread huna muda utaulizia mpepe ukamilike dada Bob
Nikaishia kusuka butterfly locks
ππ umejuajeNaona anazunguka sana hayuko straight π€£π€£π€£
Usizuge na kuzunguka sana wakati wenye D 2 tushajua nini unataka πππNimetinga sweta la traki naenjoy hali ya hewa at standard temperature & pressure (S.T.P)
Ila shem naye jau, kudharaulika kunahusiana nini na dreads?!! ππππSi ndo li ba tamu hili limeni cancel, linasema ukiweka dreads utadharaurika mara mia, yule noel ni designer wee je?
Nimechokaa hoiii,
Ila kanitamanisha kwa kweli, nimezipendaa wallah.
Sasa ukicheka na nilishakukula shida iko wapiπ€£π€£π€£π€£Utachekwaaa weyeee,
Si naona anavyojikanyaga na ww umekaza πππππ umejuaje
Kumbe mlikulana? πππSasa ukicheka na nilishakukula shida iko wapiπ€£π€£π€£π€£
Ila shem naye jau, kudharaulika kunahusiana nini na dreads?!!
Na wewe mwambie designer wa vijora unamsaidia dada ako anaitwa Lamomy
Nimecheka km chizi we coca ππππππππππ€£ππnyie usinichekeshee, yaan ananichoshaa tyuu.
Sasa mie na kudharaurika kunanipa shida gani? Niache kujikubali kisa raia uchwaraaa.
Yaan huyu inafika hatua natamani kumuacha apite kule, ananiboa sometimes.
Alichana kijoraa changu, siku hiyo nimeenda kwake, niko napika nomevaa kijora changu cha chui chuii pambee, asikichanee, moyoo unauma had kesho.
Mwenzake navaaga nikiwa home nacheza taarabu.
Go for itSawa mkuu
SawaGo for it