Selfika na JF: Snap it. Show it

dada Jitahidi uwe una kunywa maji ya uvugu asubui hata nusu Lita.
Kisha weka na limao, Ina saidia kupunguza mwili
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ka mwili kameongezeka kiduchuu, ila siku hizi nakulaa sanaa.
Kama mwili unaruhusu, kula mwaya!!!

Kuhusu nywele...Keep it like that! 🀩🀩🀩🀩
 
Lamomy na Dr Lizzy

Je niache hivi au? Maana nimependa zile dreads alizosuka Noel.
Nimeshawishika, sasa kuna mtu kanambia nikiweka dreads nitachekesha umma. [emoji23][emoji23][emoji23]

Au ndo bichwa langu halifai kwa dreads?View attachment 3020797
Uduguu pambeee 😍😍😍😍
baki huko huko soon na mimi narudi nimechoka kuvaa mawig na kuvutwa ubongo 🀣🀣🀣
 
Uduguu pambeee [emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]
baki huko huko soon na mimi narudi nimechoka kuvaa mawig na kuvutwa ubongo [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Uduguuu unajua nimemuonea wivu Noel, zile dreads anavo zishika shika na kuzirushaaa, yaan had wivu haswaa.

Tatizo kuna li mtu limeni cancel kuwa eti nikisuka dreads ntachekesha.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Uduguuu unajua nimemuonea wivu Noel, zile dreads anavo zishika shika na kuzirushaaa, yaan had wivu haswaa.

Tatizo kuna li mtu limeni cancel kuwa eti nikisuka dreads ntachekesha.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwahiyo ww Noel ndo kakushawishi?? Baki hivyo hivyo bana, mi natamani kurudi nilikotoka kwenye low cut. Leo nilikuwa natazama pic zangu nimewaza nataka nifanye maamuzi magumu. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…