Mungu azidi kukupa mafanikio boss wangu The MonkKula unavyoweza ndugu yangu, zingatia mambo ya afya tu lakini sio kujinyima upungue mwili.
Fanya mazoezi Kwa afya pia ila usijishurutishe kupungua ufurahishe watu.
Kama unene haukuletei matatizo kwenye afya Yako, kwanini ujiongezee stress zisizo na ulazima?
DJ turudishe kwenye viti na kitu Cha TI "Live your life"
suu my loveSema suu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sawa usijalisinimeanza leo
Sio kwa shape boss ...kwauzuri gani ulionao shepu kijiko wewe
usitutishe
kwauzuri gani ulionao shepu kijiko wewe
usitutishe
nataka nikusaidie upungue unene mdogoanguSawa usijali
Me naweka za kutoa watu uweponi tu. So sitaki kwakweliWeka then futa
Wengine wana madeni ya assa yanawapelekesha wasamehe burePunguza kidogo mwendo kiongozi...naamini una uwezo mkubwa tu na sio afya kuwatweza wengine. Be gentle please
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]suu my love
so uzi utafungwa kwa sababugani kwamba unanuksi sana au?Sio kwa shape boss ...
Boss alikuwa nayo queen Elizabeth na bado akazeeka boss
Narudia tena 'Mimi nipo sawa mpaka juzi nilikua natembea na mchumba wangu kuna mzee nyuma akamwita akamwambia anakojolea pazuri'nataka nikusaidie upungue unene mdogoangu
We baba basi umeshinda wewe. Nguruwe pita me sina mkuki. Ni mwiko kujibizana vibaya na mtu nisiyemjuaso uzi utafungwa kwa sababugani kwamba unanuksi sana au?
Tajiri ninaomba nikuulize swaliPunguza kidogo mwendo kiongozi...naamini una uwezo mkubwa tu na sio afya kuwatweza wengine. Be gentle please
Mi kila siku npo napiga patrolOhoooo
Upooo
acha kunifokea sawa?🙁🙁🙁wee bado kinda sana kwangu ubonge ndio unao kuchanganyaNarudia tena 'Mimi nipo sawa mpaka juzi nilikua natembea na mchumba wangu kuna mzee nyuma akamwita akamwambia anakojolea pazuri'
We huogopiiiii?
Bila shaka yoyote, karibu TajiriTajiri ninaomba nikuulize swali
mmwaaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hapa kati ulikua upo likizo jf? Sababu nimeanza kukuona wiki hiiBila shaka yoyote, karibu Tajiri
Wengine wana madeni ya assa yanawapelekesha wasamehe bure