Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika kitambo sn
Lamomy , njoo basi maana Hali ya hewa inaruhusu kutumia coffee β˜• β˜•
Woyooooooooo πŸ€Έβ€β™€οΈ
Mwenye selfika yako sasa ushatupia, mtoto mzureee mpk unakera 😍😍😍😍
Kitu cha English figure, nguo hazikatai hafu mkali wa outfit sasa.!!! Nyie Mungu anaumba πŸ˜˜πŸ˜˜πŸ˜˜πŸ’‹πŸ’‹πŸ’‹πŸ’‹πŸ₯°
 
🀣🀣Kwa kupamba uko vzr
Sawa chawa uko vzr
 
Tangu nimzike mama yangu wiki 3 zilizopita siko vzr rafiki
Napambana na trauma
Pole sana , wala usijali mama yako amebadilisha tu aina ya maisha , unatakiwa umwachilie mama yako mapema mno kwa faida ya mama yako na yako pia , jambo kimwili tu ni jambo gumu ila unapaswa kuvuka hiyo hatua ya kimwili tu , rafiki yangu mzuri.
 
πŸ™πŸ™
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…