Inawezekana aisee, sikuwahi kuumia kuhusu mnyama kama hivi sijawahi kufuga mbwa before nilimnunulia dogo, ila bond yake aisee si ya kitoto, dogo alitoka shule akalia sana kukuta mbwa wake hayupo nkasema sinunui mbwa tena
Kuna siku nilikuwa naview ile avatar rafiki yangu alikuwa pembeni yangu akaiona ile picha akaniuliza nani huyo ana shingo nzuri hivyo?? Nikamuambia install JamiiForums uanze kuitumia utamfahamu!!
Kuna siku nilikuwa naview ile avatar rafiki yangu alikuwa pembeni yangu akaiona ile picha akaniuliza nani huyo ana shingo nzuri hivyo?? Nikamuambia install JamiiForums uanze kuitumia utamfahamu!!
Angalia muvi ya will smith inetoka September inaitwa Gemin Man...
(Gemin ni nyots ya mapacha kwenye unajimu)
Humo utaona jubsi clone ya Will Smith inavyomuwinda Will Smith original kumuua