Selfika na JF: Snap it. Show it

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Mzee wangu legend, hope huyo binti ulimuoa ....

Au ndio ulipita hivi
Mzee mwenzangu huyo binti sikufanikiwa kumuoa, maana ndugu walipinga Kwa kusema kama alinionjesha mara moja nikataka kuuza Kiwanja cha familia je akiwa ananionjesha Kila Siku si nitawauza wao wenyewe ili tukaishi na binti Dubai 😜 πŸ™Œ

Bora tumezeeka sasa πŸ€—
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…