Selfika na JF: Snap it. Show it

😂😂😂😂😂

Mzee wangu legend, hope huyo binti ulimuoa ....

Au ndio ulipita hivi
Mzee mwenzangu huyo binti sikufanikiwa kumuoa, maana ndugu walipinga Kwa kusema kama alinionjesha mara moja nikataka kuuza Kiwanja cha familia je akiwa ananionjesha Kila Siku si nitawauza wao wenyewe ili tukaishi na binti Dubai 😜 🙌

Bora tumezeeka sasa 🤗
 
Nasubiria hapa, leo huogopi kunangwa pm?? [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wanaonanga wenzao sasa wenyewe vijuso km wanalamba ndimu vimechunda [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nipige tafu face
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kumbe mpo basi nimeghairi. Nitaweka usiku sana mkiwa mmelala. Kwanza nipe code ya kipilipili, unaitaja siielewi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…