Selfika na JF: Snap it. Show it

Yeah ndio hao hao safari hii wamenipata ila moto utakaowawakia wa jehanum cha mtoto

Hii ni kweli man, if there is no one at home huwa nnakuwa nna mashaka sana, kama leo familia nzima imeanua kuelekea kijijini na mimi ni mtu wa night kali, washenzi juzi kati waliniibia mbwa wangu ikaniuma sana sijui wataniibia nini mpaka hii holiday iishe, mbaya zaidi sijaweka nyaya za umeme
 
Mmh wameiba mbwa? Hp hawatamdhuru.. Sasa inabidi umakinike mno.. Anything can happen
 
Hii ni kweli man, if there is no one at home huwa nnakuwa nna mashaka sana, kama leo familia nzima imeanua kuelekea kijijini na mimi ni mtu wa night kali, washenzi juzi kati waliniibia mbwa wangu ikaniuma sana sijui wataniibia nini mpaka hii holiday iishe, mbaya zaidi sijaweka nyaya za umeme
 
Vitu vya electronics kama TV unaweza ukavifungia GPS tracker, check check mitandaoni kuna vijana wanafanya hizo kazi...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…