Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 28,793
- 58,406
Mbona katolewa mikono tena
Mikono so issue hiko kichwa πππMbona katolewa mikono tena
Hata kama ni mdoli, ndiyo uwe na sura ngumu hivyo π
πππ€£π€£π€£
Mwenyew nimezamia Kwa watu
Yani unatisha mno.Hata kama ni mdoli, ndiyo uwe na sura ngumu hivyo π
Hapa ni Makoloboi street ama?
Okay, nilipita maeneo hayo last week nikawa nimeufananisha.Yani unatisha mno.
Hapana niliikuta tu mtandaoni hiyo picha
Makoroboi hawawezi kuweka lidude kutisha hivo.Okay, nilipita maeneo hayo last week nikawa nimeufananisha.
Hujambo lakini Mjukuu?
Kichwa kimechongwa ahahahahahMikono so issue hiko kichwa πππ
Kinatisha
Hahaha.................utasema hajalilipa mshahara Kwa miezi 6 hivyo limeamua kumvimbia boss wake πMakoroboi hawawezi kuweka lidude kutisha hivo.
Niko poa kabisa babu
Yani Hilo limdoli komesha ya wizi na wadokozi ππππππHahaha.................utasema hajalilipa mshahara Kwa miezi 6 hivyo limeamua kumvimbia boss wake π
Uje tunywe kahawa hapa the Cask Mjukuu π€ π
ππππππ Ila aiseh.Kichwa kimechongwa ahahahahah
Mjini pazito πππ
Mwizi kabla hajaiba anakutana na mdoli linamwangalia Kwa Sura hiyo lazima ahairishe kuiba πYani Hilo limdoli komesha ya wizi na wadokozi ππππππ
Asante sana babu kwa kahawa.
πππSura ya ki zombie, alfu litiwe mi make up kama midamu damu eeeeh mwizi lazima adateMwizi kabla hajaiba anakutana na mdoli linamwangalia Kwa Sura hiyo lazima ahairishe kuiba π
Kahawa huwa haikataliwi Mjukuu isipokuwa beer π
Hatari sana ππππSura ya ki zombie, alfu litiwe ni make up kama midamu damu eeeeh mwizi lazima date
Asante sana babu mim nishazoea soda zile Fanta orange siunajua tena sie watoto.
Sawa babu niagizie kabisa nikifika iwe mezaniHatari sana π
Haya uje unywe hizo soda za watoto wakati tunasubiria mahubiri yaanze hapa uwanja wa Kirumba π€