Selfika na JF: Snap it. Show it

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Head girl km head girl yani 🀣🀣🀣🀣
Huu uzi tukifika uzeeni tukiupitia tutakuwa tunajicheka sana.!!

Id yangu ntamrithisha mjukuu wangu πŸ˜‚
 
Hunaaaa [emoji1787]
Hebu ngoja nikale pizza, Shem mpitie coca tukutane Pizza Hut
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila uduguu wee mchokoziiii, kwann unataka sana maugomvi? Si utuliee bas nawee, khaaaah
 
Jamanii wee 100 acha fix, sa hapo kwa picha ni wapi? Em sema kwelii.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ halafu uduguu ile lugha yetu ya kinyume nyume si nimeikuta kwa mh Lema insta, alituchabo humu nini??
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] halafu uduguu ile lugha yetu ya kinyume nyume si nimeikuta kwa mh Lema insta, alituchabo humu nini??
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mie kuna vijimaneno vyangu nilivikuta kwenye tamthilia ya lawama, nilichokaaa.

Wana chabo km kauwaaaa!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…