Selfika na JF: Snap it. Show it

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kumekuchaaaaa!!!!
 
Nilijua lazima utapoteana, ulianza kama mshauri mara kutongoza wakati upo group la walioleft, sasa hivi unaanza tena kushambulia uliokuwa unawasifia mwanzo
Siwezi tongoza mazni hapa public muambie manzi yako alete chats za PM, mi si mjinga Dogo...
Siwezi kuwa serius na picha za ku download..

And the good thing is... sidhani kama ni peke yangu nafahamu hio fake couple yenu na hizo drama zenu za ki ****...
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwanini unahamisha ugomvi wenu na kuleta kwangu?
Country mie sitaki bhanaa,
Nilikua namkumbusha tu huyu dogo, maana kaja anajifanya kidume na kasahau huko zamani allifanya nn yeye na wenzake. Si qio huyu alibadili na ID baada ya kustukiwa?
 
Umepika au ndo unaswampa kuvizia mapilau kwa jirani? [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nanyetukaa leo, vidolee vitaisha hivi, na joto la huku mbna vitanyekenyeka nyeeeeee.
 
Si umuulize huyo coca yupo hapa... Bro una fail..
We na couple yako hapa ni kitukona picha zenu za kudainilodi... najua ina ku hit so hard lakini hamna namna [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Wee nae uwage buzzy na mambo yakoo, kutwaa kuranda randa na yasiyokuhusu, ndo maana yanakukuta haya.

Em kua km mwanaume bhana, unaboaa!! Mxxxxiiiiieeeew
 
Kuna siku moja hapa unajitia kum post manzi ako, eehhh, si ukatuma picha ya kudownload, nikaipimia halafu nikminya reli, silent, nimgetaka kukuaibisha hapa ingekuwa mtafutano....

Bro hebu achana na hizi issue, ntakuabisha hapa ubadili na ID...
Hujui sasa useme tena nn, naona ulijua tumesahau ulivyokua nyuma
Dogo soko lako gumu sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…