Niko bize na Empire + GOT ngoja nione kama hii lost itavutia..
nomwana mdudu aka mbuzi katoriki
Pole sana kiongozi! Yalinipata hayo two months ago.Nitakuwa mtu kabla wiki haijesha.. Wana wamekata dirisha na kutembea na smart 47incView attachment 1281319View attachment 1281320
Wanakera kweli.😀😀😀yaani awaroge tu kwakweli
Daah wewe jamaa inaonyesha sio mfuatiliaji wa muvi.. Tuco ndio alikua anamwita Blondie ila wengine walikua wanamfahamu kama the man with no name...Kwenye hiyo movie anafahamika kama Blondie, mkuu. Na hakuwahi kuwa gavana, angalia vizuri.
Aiseee[emoji848][emoji848][emoji848]Season 6 Ep 10 imeishia Ghost kapigwa risasi ya kifua, na baada ya kupigwa risasi kaoneshwa akianguka toka floor ya kwanza katika ile bar yake...
So hatujui ni nani kamshoot kati ya Tate (huyu humjui), Tasha, Tom etc
Hatujui kama ata survive au lah, season finale itakuwa ndefu kidogo na ndio mwisho wa Power story haiendelei tena
nomwana mdudu aka mbuzi katoriki
Lost nimeifuta kabisa...Nilitazama Lost zamani sana (ni TV show ya kitambo), nikaishia season 3...baadaye S4 wakaanza kutwist story nikaona wanapoteza sasa uelekeo nikaachana nayo
Wezi wa ajabu sana ukiwa unailinda sana hawaibi.Nitakuwa mtu kabla wiki haijesha.. Wana wamekata dirisha na kutembea na smart 47incView attachment 1281319View attachment 1281320
Ikungu iko mkoa gani? Nimekaa Mwanza ila sijawahi isikia
Daaah nyumbana raha sanaa natamani ingekuwa mmMy lil’ homies. They’re excited to see their big hommie again.
I love the bucolic ambiance of Ikungu.
View attachment 1281544
Daaah nyumbana raha sanaa natamani ingekuwa mm
Huwa nkienda napafurahia sanaRaha sana.
Kuna utulivu mzuri sana.
Hakuna makelele kelele ya baa wala sala za waumini.
View attachment 1281562View attachment 1281563
Huwa nkienda napafurahia sana
Kuamshwa na mamaang
Mchana mnakaa kwenye kimvuli mnapiga stori
Daaah stress zote huwa zinaisha
Ss tutaacha kwenda jamani,ni kumuomba Mungu tuKuna vijiji na vijiji...
Kuna maeneo hayo hutakiwi kanyaga, wanga kama wote...
Ukitia mguu tu wapigwa zongo
Huwa nkienda napafurahia sana
Kuamshwa na mamaang
Mchana mnakaa kwenye kimvuli mnapiga stori
Daaah stress zote huwa zinaisha