Selfika na JF: Snap it. Show it

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Mi kuna mmama aliniletea moja kali ila toka niote usiku mtu anaichezea kiunoni na nimelala peke yangu SIVAI
Kwa kweli wamakonde wapewe mauwa yao,unakuta kafunga mzigo wa kuni kiunoni mi moja tu imenishindwa na nashukuru mwenzangu aligoma siku ileile aliikata.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] chiziii wee, sahivi niko makini ktk kutunza tamu ya ba tamu, sitaki makolezo ya kiwakiiii.

Ukute had mishipa ya uti wa mgongo ina stuck, wee kuwezaa?
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ la kienyeji lenyewe halina mambo mengi
 
Mwambie huyo jamaa anayerusha mikono juu aache ujinga, amkumbatie manzi huyo [emoji23][emoji23][emoji23]
Uchezaji gani huo km anacheza nyimbo ya World Cup
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] leo nimemuonesha ba tamu nikiwa napiga ulanzi ukiwa kwenye Robo, anajibu "unakunywa matapu tapu?"

Hivi hajui ulanzi utamu wake, wee
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ mbege namix na wine basi mizuka inapanda
 
ulanzi unaujua[emoji1487][emoji1487][emoji23][emoji23][emoji41]
Uduguu mbona ulanzi nagema mwenyewee, Mbeta natengeneza vyedii kabisaaa,
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Mi kuna mmama aliniletea moja kali ila toka niote usiku mtu anaichezea kiunoni na nimelala peke yangu SIVAI
hili grup naomba ni left πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™ŒπŸΎπŸ™ŒπŸΎπŸ™ŒπŸΎπŸ™ŒπŸΎ
 
[emoji23][emoji23][emoji23] Mi kuna mmama aliniletea moja kali ila toka niote usiku mtu anaichezea kiunoni na nimelala peke yangu SIVAI
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaah
 
Uduguu mbona ulanzi nagema mwenyewee, Mbeta natengeneza vyedii kabisaaa,
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Hadi apo basi inatosha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…