seems like ni kazee kalikogoma kukua akili kama mimiπππUmekuwa RITA uanze kuhoji age yangu?? πππ
ππππWee mwehu ujue!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Dr lizzyBene, tu?
Kwa hyo tuseme unapendajeπ€ππππ Ila mwanaume naye akiwa mweusi sana anakuwa km Idd Amin, usiombe akasirike na awe na sauti zito km radi.. unazimia mbona
πππ Mimi sasa na shobo zangu nikaingia mjini you tube nikajibebea maelezo yangu nikatengeneza kitu. Nikaipua nikajisafisha na cleanser, nikapaka baby powder, nikaipaka ikaniunguza kidogo ila sikujali, nikachukua kitambaa nikagandamiza..!! Nivute sasa kitambaa kitoke uwiiii.!! Mbona Apostle kuna muujiza huku! Nini kimetokea?? Nilikuwa natetemeka huku nalia wifi ππππDadeqiiiiiiiiiii umenkumbusha πππkwa bibu sjawah ila skumoja nkasema nijaribu kwenye kwapa uuuuweeeeh mbona sikumalizia na sikurudia tenaππΎππΎππΎππππ
ππππ Mishangazi nangaiseems like ni kazee kalikogoma kukua akili kama mimiπππ
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ndo ukomeee.[emoji23][emoji23][emoji23] Mimi sasa na shobo zangu nikaingia mjini you tube nikajibebea maelezo yangu nikatengeneza kitu. Nikaipua nikajisafisha na cleanser, nikataka baby powder, nikaipaka ikaniunguza kidogo ila sikujali, nikachukua kitambaa nikagandamiza..!! Nivute sasa kitambaa kitoke uwiiii.!! Mbona Apostle kuna muujiza huku! Nini kimetokea?? Nilikuwa natetemeka huku nalia wifi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Awe kati, asiwe mweupe sana wala mweusi sana.!! Awe km Fally IpupaKwa hyo tuseme unapendajeπ€
weeeeee jaman hadi huruma pole wifi mweeeeπππila watu mnajua ku risk ,,vip utarudia tenaπππ Mimi sasa na shobo zangu nikaingia mjini you tube nikajibebea maelezo yangu nikatengeneza kitu. Nikaipua nikajisafisha na cleanser, nikataka baby powder, nikaipaka ikaniunguza kidogo ila sikujali, nikachukua kitambaa nikagandamiza..!! Nivute sasa kitambaa kitoke uwiiii.!! Mbona Apostle kuna muujiza huku! Nini kimetokea?? Nilikuwa natetemeka huku nalia wifi ππππ
mi ni aunt sjui wew mnene ππ mshangazππππ Mishangazi nangai
Hahahahaha ila pia weupe wamezaliwa tu hawajapenda wawe hvyoAwe kati, asiwe mweupe sana wala mweusi sana.!! Awe km Fally Ipupa
Uduguu podido liliuma sina hamu ikabidi nijizime data nivute kwa nguvu πΉπΉπΉ[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ndo ukomeee.
Ms rweeeeee jaman hadi huruma pole wifi mweeeeπππila watu mnajua ku risk ,,vip utarudia tena
Kwa kulivyonoga narudia ila ntakunywa nilewe ili nisisikie maumivu πππweeeeee jaman hadi huruma pole wifi mweeeeπππila watu mnajua ku risk ,,vip utarudia tena
πππππ basi mi dadami ni aunt sjui wew mnene ππ mshangaz
Wajikite kwenye kutafuta pesa, rangi ya pesa na pesa wawe nazo. πHahahahaha ila pia weupe wamezaliwa tu hawajapenda wawe hvyo
NaamMs r
unapenda utoto jimama weyeππππππππ basi mi dada
Huku kwa wathugu Black ni Black tu haijalishiWajikite kwenye kutafuta pesa, rangi ya pesa na pesa wawe nazo. π
kumbe kaleviπππKwa kulivyonoga narudia ila ntakunywa nilewe ili nisisikie maumivu πππ