Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 74,231
- 183,104
Darasa la kwanza na la pili hizi mie pia sikumbuki inaitwaje. Dah! Kweli Miaka inaenda kasi!![]()
Kuna hii hadithi sijui iliitwaje?
Nyingine Sikulamba sukari Hawafu mwenye nguvu!
Darasa la kwanza na la pili hizi mie pia sikumbuki inaitwaje. Dah! Kweli Miaka inaenda kasi!![]()
Kuna hii hadithi sijui iliitwaje?
Mmmh Hizo kama vijiti ni Nini Ephen?
Pringles za mihogo, huonagi wanaekaga kwenye urojo?Mmmh Hizo kama vijiti ni Nini Ephen?
Hahahahaha..umetisha
HahahahahaMmmh Hizo kama vijiti ni Nini Ephen?
Huezi amini,sijawahi kula hicho chakula,nilikiona kimepikwa na wapemba kabisa pale forodhani ila sijala...no nooo not for me 😁Pringles za mihogo, huonagi wanaekaga kwenye urojo?
Mtekaji ni very professional 😁Hahahahaha
Unakosa uondo! Ni tamu sana uweke ukwaju na pilipili hapo imekosekana saladi au spinach😋Huezi amini,sijawahi kula hicho chakula,nilikiona kimepikwa na wapemba kabisa pale forodhani ila sijala...no nooo not for me 😁
Mmmh,hapana...endelea tu Ephen mi nitakula mishkaki yanguUnakosa uondo! Ni tamu sana uweke ukwaju na pilipili hapo imekosekana saladi au spinach😋
Hadi kwenye urojo mishkaki inaekwaMmmh,hapana...endelea tu Ephen mi nitakula mishkaki yangu
Mmmmh.Hadi kwenye urojo mishkaki inaekwa
Urojo wanaweka pringles za mihogo, kachori, bagia, kababu,mihogo ya kuchemsha, mishikaki, mayai, saladi au spinach mbichiMmmmh.
Mmmh vyote!huumwi tumbo?Urojo wanaweka pringles za mihogo, kachori, bagia, kababu,mihogo ya kuchemsha, mishikaki, mayai, saladi au spinach mbichi
Hapana! Siku ujaribuMmmh vyote!huumwi tumbo?
Na Ile mchuzi ni wa Nini?Hapana! Siku ujaribu
Ngano, viazi mbatata, giligilani wanachemsha kiutaalam😋Na Ile mchuzi ni wa Nini?
Kitambaa kimekaa mahali pake 🔥🔥🔥🔥
Ciao, bella!
Bene, tu?Ciao, bella!
molto bene e tuBene, tu?