Dr hyperkid
JF-Expert Member
- Jun 7, 2019
- 13,733
- 27,095
Hehe hapana mkuu. Labda image imekuwa uprighted.Viatu mbona umegeuza mkuu
Kufanya Nini?Nikaribishe PM basi
Kufanya Nini?
Mbona unacheka mkuu

Kazi ipi?Kuna kazi nahisi naweza kufanya huko
Umetisha mkuu![]()
Kazi ipi?
Wewe yako iko wapi?Nawa draw tu!
Niambie kwanza Ni kazi gani!?Mbona wasiwasi mwingi,wewe fungua milango tu

Nimeiweka humu kitambo mbona ww je?Wewe yako iko wapi?
Niambie kwanza Ni kazi gani!?
Isije kuwa biashara za magendo![]()
Hio..Early 2019..
View attachment 1217288
Akhsante nashukuru.Mimi sio baharia siwezi kufanya biashara za magendo,kusema kweli yani hilo umbo lako na hiyo rangi ya ngozi vimenifanya kabisa nishawishike kufanya kazi hapo ofisini kwako,kama upo tayari nilete CV.

Oooh nimeonaHio..