Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,819
- 233,246
Ngoja nikupe picha yakeIla naona unajizungusha zungusha tu hapa..sijaona picha yako ujue








Ngoja nikupe picha yakeIla naona unajizungusha zungusha tu hapa..sijaona picha yako ujue








Ahsanteee naomba ufanye hivyoNgoja nikupe picha yake![]()
Mie mbona nilishatuma miwa yangu ya nyongeza kule juuIla naona unajizungusha zungusha tu hapa..sijaona picha yako ujue
Hivi miwa ya nyongeza unaijua mama?? Wacha nisiseme sana!!Wenye fimbo za pooltable tuna![]()
Nitakupa mwenyewe mdogo wangu punguza munkariAhsanteee naomba ufanye hivyo
Itakua mambo ya kilinge Mkuu. Na mie toka alipoipost yaani siendi jukwaa jingine wala post nyingine, nimeng'ang'ana tu kwenye post hii. Yaani nafuatilia comment moja baada ya nyingine. Mshana Jr. hii post yako sijui kwanini naipenda kila muda nikiingia jf siachi kuipitia
hongera sana...Nimeitwa intelijensia
wa wazee, si unajua wanadekezaUtamu upi sasa?
Usisahau kunitagNaituma saivi
😂😂😂😂🏃Huyu relief Sina shida na zake
Mbona nishatumaaUsisahau kunitag
Weka tena mi sikuonaKwamba sijaweka?? Mbona niliweka ukiacha ile ya mtoto wangu wa mwisho kuna nyingine niliweka halafu nikafuta!!
Dah! Usifute ngoja nipite page kwa pageMbona nishatumaa
Wale wote walionisumbua kuomba picha.
Picha ilishafika na sifuti...kufuta ni uoga wa maisha.



