@Lomamy yule dogo wa kuomba msaada wa ada nimekuachia π€£π€£π€£π€£π€£π€£ kanishinda tabia. Why aliona aibu kujisema kuwa niyeye eti rafiki yake. Kwenye shida huwa kuna aibu kweli? Ngachoka, haoni wenzake wanafata watu kuwaomba hela PM. Atupishe...