100 others
JF-Expert Member
- Aug 5, 2017
- 10,226
- 36,553
Si bora ungenibania hata pesa..Nikubanie ni pesa hizi?? Hafu ww nishakujua
Nasubiria wifi hiyo pic πππunataka unitambulishe kwa mwingine sioπππnini unanikomalia ivi
Yeah humu tuππππ humu tuuh
Wenye uzi wao wamerejea hahahahaMmeanza tena kwa kweli mmeshindikana πππ
Wee mr likes hebu Tumuone mpiga picha pulllllllliiiiiiiiizzzzz!!
Mahondaw warrraaaaapWee mr likes hebu Tumuone mpiga picha pulllllllliiiiiiiiizzzzz!!
Sie wanywaji hapo ππππππππππππππ!
Baadaye Mahondaw na wewe nakupa assignment utupie mgongo huo baadae πWozzzzzaaaaappp mr likes. Fanya manuva π€³ weekend Yangu iende vyediii pullliiizzzzzzzzzzzzzzz...!
Nakupendea hapo tuu Mahondaw ππ₯π₯π₯Hio badae kwioooo mfyuuu! Ole wako unidanganye sasa!
Mie trena selfika addict sema jingineee mgongo tu Limeisha hilooo
kumbe ndo zako kuniuza kwa kaka zako πππ kwani unalipwa shingap wiiNasubiria wifi hiyo pic πππ
Naona kaka yangu mwingine Mpaji Mungu anakulia mingo
Gotcha π₯Usizingue π€³π€³ yako kwanza lakiniii That's a condition!
πππ hamna wifi yoyote utakayekuwa naye sawa tyuu!! Wote famkumbe ndo zako kuniuza kwa kaka zako πππ kwani unalipwa shingap wii
sema sasa ninaemtaka hanitakiππngoja nipambane nikishindwa nitakuomba msaada wifi,,yan wewe kwa namna yoyote lazima uje kua wifi seriously πππππππππ hamna wifi yoyote utakayekuwa naye sawa tyuu!! Wote fam
Weeh yupi huyo? πππsema sasa ninaemtaka hanitakiππngoja nipambane nikishindwa nitakuomba msaada wifi,,yan wewe kwa namna yoyote lazima uje kua wifi seriously ππππππ
yupo yani nmemuandika kwenye karatasi namkanyaga kila siku nimmiliki lakin wapiπππWeeh yupi huyo? πππ
Kumbe yupo unayemtaka??
Kantibua mpk nilitamani Max angeweka sehemu ya voice note nimcharure..!! Katupotezea muda wetu kumuombea msaada kumbe sio muaminifu.@Lomamy yule dogo wa kuomba msaada wa ada nimekuachia π€£π€£π€£π€£π€£π€£ kanishinda tabia. Why aliona aibu kujisema kuwa niyeye eti rafiki yake. Kwenye shida huwa kuna aibu kweli? Ngachoka, haoni wenzake wanafata watu kuwaomba hela PM. Atupishe...