Selfika na JF: Snap it. Show it

Traaaambaa mama kwa raha zako [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uduguuu nimechekaaa had baas.
Ngoja nimuimbie ba tamu "never ever" ya Vanessa mdee alale ucngz
 
Treeenaah [emoji23][emoji23][emoji23]
Km hawataki watage
Mbona waminye vipira hadi vipasuke pwiiiiiii, waache kuwashwa na shipa la mgongo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uduguuu nimechekaaa had baas.
Ngoja nimuimbie ba tamu "never ever" ya Vanessa mdee alale ucngz
Watu na mahaba yenu buana 😍😍😍
Mi leo najisikia vibaya hata job sijaenda.!! Na nikiumwaga naogopa kusinzia nahisi ntapitiliza πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Watu na mahaba yenu buana [emoji7][emoji7][emoji7]
Mi leo najisikia vibaya hata job sijaenda.!! Na nikiumwaga naogopa kusinzia nahisi ntapitiliza [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mahaba km yoteeee, [emoji182][emoji182][emoji8][emoji8]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uduguu unaogopaa kufaa?
 
Mbona waminye vipira hadi vipasuke pwiiiiiii, waache kuwashwa na shipa la mgongo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ umenikumbusha, si nimejitia uchizi nimejifanyia waxing ya kienyeji.!! Wohiiii wohiii inaumaje maniner mpk nimefoka πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Nyie hatareeeeee unanena kwa lugha ambazo mwenyewe huwezi kuzirudia hata uwekewe billion
 
Mahaba km yoteeee, [emoji182][emoji182][emoji8][emoji8]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uduguu unaogopaa kufaa?
Naogopa balaa hapa niko peke yangu nimefungulia tv kwa sauti kubwa ili Israel akija aanze kucheck movie asahau!! πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Natafuta wa kumpigia simu anisogezee usingizi nilale, sijui nimpigie dear ex
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uduguuu ucnichekeshee mie hapaa.
Kuna siku nafanya usafi kwa kutumia water lubries inaitwa Devex,
Sasa kumbe inatakiwa maji ya uvugu uvugu, mie nkatumia ya baridii, kuweka kugusa kule kunako, nlivyorukaa na kupiga ukunga huo.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] niliropokaa mambo ya ajabu, yaan kungekua na mtu karibu angenifunga kamba, kwamba uchizi umeanzaa.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kumuambia baba tamu alicheka, japo sio mchekaji holela, na ni mgumu kucheka.
 
Naogopa balaa hapa niko peke yangu nimefungulia tv kwa sauti kubwa ili Israel akija aanze kucheck movie asahau!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Natafuta wa kumpigia simu anisogezee usingizi nilale, sijui nimpigie dear ex
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] had dear ex tena, woiiiiih.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ nakwambia yamenikuta sina hamu!!
Ila umenichekesha shem hajakupepea?? Waxing nzuri ila ina balaa lake haswaaa hii ya kienyeji wohiiii!! Nimekoma πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ
Ss hivi najipeleka mwenyewe kufanyiwa staki tena ujuaji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…