Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nakuambiaa, nawashwaa hatarii kuanza vuruguu.
Sitakagi amani, hata mparee wangu anajua.
Mwenzio nimetoka kushushuliwa sina hamu hapa, na nna ubalozi wa amani sijui nafanyaje?? 😂😂😂
 
Moderators!!!!

Huu uzi ulipoa km kojo LA hanithii, yaan haukua na uchangamfu, ila leo kutuachia huru mie na udugu wangu, li uzi limefufuka km nsyuka toleo jipyaaa.

Yaan linatatalika utadhani mtu anaoga nje, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mtupe maua yetuu, Selfika ina wenyewee, na wenyewe ndo sie.

Naona leo hapo JF HQ mnautazama huu uzi ukiwa wa [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]

Lazima niwachaneee makavuu, Selfika inabebwaa na heka heka.
Na wenye heka heka ndo sie, afu hatulazimishii tunazimuduuu.

Wachachuajiiii km wachachuajiii tuko winjaaaaa winjaaaaaa!!!!
Kaeni kwa kutuliaaa, mtazamee manjegekaaa yanavyonjegeshwaaa.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom