Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

[emoji23][emoji23][emoji23] kitu gani em ning’ate sikio
Kuna modes nkamnawa na hilo, alicheka had kusemaa mie siwezi acha heka heka.

Zivu km mkutano wa siafu ulio ahirishwaaa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] afu ameoa mwaka jana Kaka ake.
Mparee mrefuu, had nahisi anadanganya, japo ubini wake una akisi upareni.
Hakuna Wapare warefu labda kamix 😂😂😂
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hatareee uduguu!!
Sasa miguu km fito lkn si inakanyaga breki na clutch!! Wao yao ya kupalilia iko wapi???
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uduguu mbna km unanikokii nijimwayee mwayee, nitupwee ukonga. Woiiiiih
 
Kuna modes nkamnawa na hilo, alicheka had kusemaa mie siwezi acha heka heka.

Zivu km mkutano wa siafu ulio ahirishwaaa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Weeeh nambie koma 😂😂😂😂
Hapo kwenye mkutano ulioharishwa ndo pa kukazia na spana
 
Weeeh nambie koma [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hapo kwenye mkutano ulioharishwa ndo pa kukazia na spana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nakuambiaa, nawashwaa hatarii kuanza vuruguu.
Sitakagi amani, hata mparee wangu anajua.
 
Back
Top Bottom