Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Monster vipi???
Na My name Is....!
Hiyo alikusudia bibie si Alipitia Child abuse mama ake pia alikua ni mtu wa madawa ndio maana kajiita hvo. Wewe ukimuona yule jamaa psychologically unaona yupo normal??

Eminem imetoka kwenye M&M, kifupi cha Marshall Mathers ambalo ndiyo jina la kiserikali la Eminem.

Kuhusu kutokuwa normal, aliwahi kujibu mwenyewe...

"It's all political /
If my music is literal, and I'm a criminal / how the phuck can I raise a little girl? /".

He raised many kids btw, including his little bro.
 
Sawa ni kweli..
Ila hata hatayeye hua anaji address kwa Maana hiyo. Mimi binafsi nisingeweza kujitungia.
 
Monster ile aliyoimba na Rihanna?? Hizo nyingine kawaida sana mimi my best Eminem songs ni Not Afraid na Rap God!!

Oohh yeah psychologically anaonekana hayuko normal lakini pia si nasikia kuna siri kubwa nyuma ya pazia?? He was Cloned!!
Hebu muangalie Wentworth Miller, Clint Eastwood na Eminem... Huoni wanafanana?
 
Eminem imetoka kwenye M&M, kifupi cha Marshall Mathers ambalo ndiyo jina la kiserikali la Eminem.

Kuhusu kutokuwa normal, aliwahi kujibu mwenyewe...

"It's all political /
If my music is literal, and I'm a criminal / how the phuck can I raise a little girl? /".

He raised many kids btw, including his little bro.
Monster ile aliyoimba na Rihanna?? Hizo nyingine kawaida sana mimi my best Eminem songs ni Not Afraid na Rap God!!

Oohh yeah psychologically anaonekana hayuko normal lakini pia si nasikia kuna siri kubwa nyuma ya pazia?? He was Cloned!!
Issue ya Em kuwa cloned, Me sitaki kuiamini hadi leo (walimfanyia ili awe anti-government au nini cha ziada?, na nani aliyeendesha hilo zoezi? Illumi au kina Dre? Kwanini sio John F. Kennedy, Shakur, Big, Lincoln).
 
Back
Top Bottom