Jack Palladino
JF-Expert Member
- Feb 24, 2018
- 7,245
- 22,555
Mtoto kama muarabu daahBahati miwani yangu ilikuwa mbali, ingekuwa jirani ningeona ile rangi ya Dubai 😜
Mtoto kama muarabu daahBahati miwani yangu ilikuwa mbali, ingekuwa jirani ningeona ile rangi ya Dubai 😜
😂😂😂 Babu uongo!! Wakati kina bibi wadogo had wanakupigania ulivyo fundi.Na umri huu naanzia wapi Mzee wenu 😜
Hiyo picha ilikuwa enzi zile nikiwa Kijana 😜
🤣🤣🤣🤣 Dubai ya ukingaBahati miwani yangu ilikuwa mbali, ingekuwa jirani ningeona ile rangi ya Dubai 😜
Kweli ujue, ila useme ile dental formula imetulia, na ile rangi ya Dubai ndiyo balaa🤗Babu muongo 😂😂😂
Tatizo kuna mashimo km njia ya jehanamu 😂😂😂Ile ndio njia zake hizo...ipo vizuri kwenye rough road😅
Hiyo rangi ungekuwa huku Kijijini hamna hamna ungeletewa mahari ya ng'ombe 2000 😜🤣🤣🤣🤣 Dubai ya ukinga
Service ni ishu ya kawaida babe usijali nipe location chapTatizo kuna mashimo km njia ya jehanamu 😂😂😂
Utapata shida kulifanyia service, si unajua spare zake kipengele
Yaani, I wish angezaliwa enzi zetu miaka ile ya 47 huenda tungevunja Sheria Kwa kuongeza Mke wa 6 😜Mtoto kama muarabu daah
😂😂😂 Ndiwoo ndiwooo huhitaji taa tanesco wakikata umemeMtoto kama muarabu daah
Rangi ya mtume hiyo acha kabisa😋😂😂😂 Ndiwoo ndiwooo huhitaji taa tanesco wakikata umeme
Wifi strawberry hizo uniletee 😍😍npo shamba kuchuma matunda nkitoka ntapga nkutumie 😂😂😂😂
Kumbe ulichabo babu 🤣🤣🤣Kweli ujue, ila useme ile dental formula imetulia, na ile rangi ya Dubai ndiyo balaa🤗
Ndiyo maana Mkwe amekubali kutoa mahari ya ng'ombe 1000 sio mchezo 😜
🤣🤣🤣🤣🤣 camera io bwana weweeeeeeeeeWifi strawberry hizo uniletee 😍😍
Halafu wifi yangu kisu, mkono tu mzuri hivyo!! Mwili wote si ndio balaa kabisaa
tuma wewe sasa nkuzoom😋😋Wifi strawberry hizo uniletee 😍😍
Halafu wifi yangu kisu, mkono tu mzuri hivyo!! Mwili wote si ndio balaa kabisaa
Sema kweli babu?? 🤣🤣🤣Hiyo rangi ungekuwa huku Kijijini hamna hamna ungeletewa mahari ya ng'ombe 2000 😜
Wifi kwa kaka au ? Sielewi ujue?🙃Wifi strawberry hizo uniletee 😍😍
Halafu wifi yangu kisu, mkono tu mzuri hivyo!! Mwili wote si ndio balaa kabisaa
Bonyokwa karibu na kibanda cha mkaa 😂Service ni ishu ya kawaida babe usijali nipe location chap
😂😂😂 babu kumekuchaYaani, I wish angezaliwa enzi zetu miaka ile ya 47 huenda tungevunja Sheria Kwa kuongeza Mke wa 6 😜
😂😂😂😂 wewe huyoRangi ya mtume hiyo acha kabisa😋
Wala sio camera, ww mzuri wifi 😍🤣🤣🤣🤣🤣 camera io bwana weweeeeeeeee